NAIBU WAZIRI UMMY MWALIMU APOKEA SHILINGI MILIONI 100 KWA NIABA YA TAYOA KUTOKA NBC KUSAIDIA VIJANA
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya shs milioni 100 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Mizinga Melu kusaidia mradi wa mafunzo ya masuala ya ajira na ujasiriamali kwa vijana wa Shirika la kuelimisha…