BENKI ZA NBC NA BARCLAYS ZADHAMINI SHINDANO LA “VIJANATZ BUSINESS PLAN”
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi (Consumer Banking) wa Benki ya Barclays Afrika, Rajal Vaidya (wa pili kushoto) akikabidhi hundi ya sh milioni moja kwa Peter Celestine, mmoja wa washindi wa shindano la kutafuta na kukuza mawazo ya ujasiriamali kwa vijana wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali wakati wa shindano hilo jijini Dar es…