WABUNGE WA MAREKANI WAIPONGEZA TAYOA MONDAY
Kaimu Balozi wa Marekani Dk. Inmi Patterson akisailimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Vijana Tayoa, Balozi Charles Sanga alipowasili kwenye viwanja vya shirika hilo Bahari Beach Dar es Salaam pamoja na ujumbe wa wabunge watano wa Bunge la Congress la Marekani. Ujumbe wa wabunge watano wa Bunge la…