TAYOA YATOA MAFUNZO MPWAPWA
TAYOA (Tanzania Youth Alliance) ni shirika lisilo la kiserikali lilianzishwa Novemba 1997 na kupata namba ya usajili 1497 likiwa makao yake makuu Masasani Beach kitalu namba 889/890 Dar es Salaam. Shirika hili lilianzishwa sio kwa lengo la kupata faida ila ni kwa lengo la kuwasaidia vijana waishio mjini na vijijini…