TAYOA YAENDESHA MDAHALO NA WANAFUNZI KWA TEHAMA
SHIRIKA la Vijana Nchini (Tayoa) kwa ufadhili wa Wizara ya Afya kupitia mradi wa Global Fund, limefanya mdahalo wa kwanza kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ambapo zaidi ya wanafunzi na viongozi wapatao 680 wameshiriki. Mdahalo huo wa Timiza Malengo 2020 ulifanyika kwa njia ya mtandao wa Zoom ulishirikisha…