WAZIRI UMMY AZINDUA MAKASHA YA USAMBAZAJI KONDOMU NCHINI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu akizindua makasha ya kusambazia kondomu katika hafla iliyofanyika katika Stendi Kuu ya Mkoa wa Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzania Youth Alliance, Peter Masika. Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthonya Mavunde akijaribu…