Waziri Gwajima aipongeza Tayoa kwa kushirikiana na serikali
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Dk. Doroth Gwajima, amepongeza ushirikiano wa Shirika la Vijana (Tayoa) kwa serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi. Ameyasema hayo leo Septemba 16, 2021 jijini Dodoma alipotembelea banda la Shirika hilo na kuelezwa kazi zinazofanywa ns shirika hilo ikiwemo kusambaza…